Author: Jamhuri
Dk Nchimbi awasili Furahisha kwa uzinduzi kampeni Serikali za Mtaa Mwanza
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili leo tarehe 20 Novemba 2024 katika Viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza, kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa chama hicho katika ngapi…
Mbaroni kwa tuhuma za kubaka na kumuua mtoto wa miaka sita
Na Haji Mtumwa, JamhuriMedia, Zanzibar Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia mtu mmoja aitwae Maulid Hassan Maulid (18) mkaazi wa Mwera Pongwe katika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja kwa tuhuma za mauaji ya mtoto mdogo Khadija…
Tuhuma nyingine mpya dhidi ya P Diddy zazidi kumiminika
Mwanamuziki wa Hip-hop, Sean “Diddy” Combs kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa Serikali akisubiri kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za utapeli na utumwa wa ngono. Kukamatwa kwake huko New York kulikuja huku kukiwa na msururu wa tuhuma za unyanyasaji wa…
Gavu awasili Geita kuzindua kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu. Gavu amewasili mkoani Geita leo…