JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yawaondolewa mzigo wakulima

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Serikali imewaondolewa mzigo wakulima baada ya kuzinduliwa kwa Mpango wa Ruzuku ya Mbolea utakaowawezesha kupata nafuu ya bei za mbolea katika msimu wa kilimo 2022/2023. Uzinduzi huo umefanywa leo Agosti 8, 2022 na Rais Samia…

Serikali yaombwa kuondoa kodi ya maziwa yanayosafirishwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali imeombwa kuondoa kodi ya maziwa yanayosafirishwa kutoka nje ya nchi ili bei ya maziwa iwe shindani na kuweza kupanua soko la maziwa zaidi. Hayo yamesemwa leo jijini Arusha na Afisa mauzo kutoka kampuni ya…

Tanzania yapewa msaada wa Euro mil.10

Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani imeipatia serikali ya Tanzania msaada wa Jumla ya Euro Mill 10 sawa na Shilingi za Kitanzania Bill 23.7 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mitatu. Hayo yamejiri leo jijini Dar es Salaam katika…

Balozi Katanga aitaka Benki Kuu kuongeza ufadhili kwa wanafunzi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mbeya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga ameitaka Benki Kuu ya Tanzania kuongeza idadi ya wanafunzi inayowadhamini kwa masomo ya elimu ya juu kuliko, akisema idadi ya wanafunzi inaowadhamini sasa bado ni ndogo sana. Alisema hayo wakati…

Vyama vya ushirika vyatakiwa kuwa mkombozi kwa wakulima,wafugaji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega amevitaka Vyama vya Ushirika vya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi nchini kuwa msaada katika kuleta maendeleo na sio kushiriki kushusha maendeleo ya wadau wa sekta hizo. Naibu Waziri Ulega ameyasema hayo…