JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

19 wafariki baada ya magari manne kugongana Kahama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Watu 19 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari manne ikiwemo treka wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea katika barabara ya Isaka kwenye kijiji cha Mwakata halmashauri ya Msalala. Ajali hiyo…

Ushindani mkali kati ya Ruto na Odinga

Uchaguzi huu unaonekana kuwa kinyang’anyiro kikali kati ya wagombeaji Bw Odinga na Bw Ruto. Bw Odinga kiongozi wa upinzani wa muda mrefu, anayeitwa Baba “baba” na wafuasi wake, anawania urais kwa mara ya tano. Bw Ruto, ambaye amejaribu kusisitiza uhusiano…

Waziri Pindi Chana amshukuru Rais Samia

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Wizara yake fedha za utekelezaji wa Mradi wa kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania(…

Diplomasia ya kiuchumi ya Rais Samia yaing’arisha Tanzania

Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Mbeya Diplomasia ya kiuchumi iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ndani na nje ya nchi imesaidia upatikanaji wa Dola za Marekani Milioni 925 kuboresha miundombinu ya elimu. Waziri wa…