JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia: Afrika inahitaji kuongeza juhudi kuendeleza mpira wa miguu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Bara la Afrika linahitaji kuongeza juhudi zaidi kwa kuongeza jitihada mbalimbali zitakazoendeleza mpira wa miguu. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 10, 2022 alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia katika ufunguzi wa Mkutano…

Ajinyonga baada ya timu ya Yanga kufungwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tunduru MFANYABIASHARA aliyetambulika kwa jina la Hery Sanga mkazi wa kitongoji cha Kigamboni, kijiji Biasi, kata ya Nakayaya,Wilaya ya Tunduru, amejinyonga hadi kufa chanzo kikidaiwa ni matokeo mabaya ya mechi ya kirafiki kati ya timu ya Yanga…

TAKUKURU yabaini mapungufu kwenye miradi Mwanza

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mwanza TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza imefuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 22 yenye thamani ya Bilioni 27 katika sekta ya elimu, barabara,maji,usafi wa mazingira na afya. Hayo yamebainishwa leo Agosti 10,2022…

FIFA kuendelea kuisaidia Tanzania,yaridhishwa na Rais Samia

Na John Mapepele,JamhuriMedia Rais wa Shirikisho la Soka Duniani(FIFA), Gianni Infantino, amesema FIFA itaendelea kuisaidia Tanzania kutokana na kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye michezo. Akizungumza usiku wa kuamkia leo Agosti 10,…