JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Wajerumani waimarisha afya Zanzibar

Na Rahma Khamis,JamhuriMedia,Zanzibar Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazurui amesema kuwa Serikali ya Ujerumani imekusudia kuanzisha mfuko wa bima ya Afya (Health Insuarence) ambao utasaidia wananchi kuwapunguzia gharama za matibabu na kuweza kupata huduma bora Nchini . Ameyasema hayo…

Tanzania,Oman yafungua milango kukuza sekta ya nishati

Waziri wa Nishati January Makamba amekutana na Balozi wa Oman nchini Tanzania Saud Hilal Al Shidhani na kuzungumzia fursa mbalimbali za uwekezaji zilizopo katika sekta ya mafuta na gesi hususani katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika…

Rais Samia atuma salamu za rambirambi vifo vya watu 19 Mbeya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera kufuatia vifo vya watu 19 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea jana saa mbili asubuhi katika eneo…

Kiwanda cha kuchenjua madini ya shaba mbioni kuanzishwa Tunduru

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba kinatarajiwa kuanzishwa wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma ili kuwezesha shughuli za kuchenjua madini hayo kufanyika nchini na hivyo kulinufaisha taifa na watanzania. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko…