JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ridhiwani Kikwete aingia mtaani kutatua migogoro ya ardhi

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amezitembelea familia na makazi yenye migogoro ya ardhi ya muda mrefu kwa kuzifuata katika maeneo yao kwa lengo la kujionea uhalisia wa migogoro na kupata maelezo ya kina kabla…

Behewa mpya zaidi ya 20 kuwasili nchini Septemba

Serikali imesema mabehewa mapya ya abiria zaidi ya 20 ya reli ya kati yanatarajiwa kuwasili mapema mwezi Septemba mwaka huu kutokea Nchini Korea Kusini lengo likiwa kupunguza changamoto ya upungufu uliopo wa mabehewa hususani kwa njia ya Mpanda na Kigoma….

Mawaziri nane wajadili utatuzi wa migogoro ya ardhi vijiji 975

Waziri Mabula Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Angeline Mabula ameongoza kikao cha Kamati ya Mawaziri Nane wa Wizara za Kisekta kujadili utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Mawaziri kuhusiana na utatuzi wa migogoro ya matumizi…

Shaka akemea watumishi halmashauri kuhusishwa na unyanyasaji wa kingono

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge. Akizungumza jana wilayani Sikonge, Mkoa wa Tabora akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya…