JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Moi yasogeza huduma za kibingwa Mtwara

Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia Huduma za kibingwa za Taasisi ya tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) zitaanza kutolewa katika hospitali mpya na ya kisasa ya rufaa ya kanda Mtwara ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Serikali la kusogeza huduma za kibingwa karibu…

Watoto 53 wazaliwa siku ya Sensa Zanzibar

Watoto 53 wazaliwa siku ya Sensa Zanzibar Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM),mkoa Mjini (Kichama), Talib Ali Talib, ameitaka jamii kujenga tabia ya kutembelea wagonjwa wakati wa matukio maalum ya kitaifa ili kuimarisha imani na mappenzi miongoni…

Ashikiliwa kwa tuhumza za kumbaka mtoto ndani ya gari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Jeshi la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Mpimbwe Dickson Mwenda (37) kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 15 mkazi wa Kibaoni. Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Ali Makame…

Tanzania kupokea balozi wa amani duniani

Na Grace Semfuko,JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi wa kidini kutoka nchini India Bw. Gurudev Sri Sri Ravi Shankar…