JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Nape awataka wagombea kufanya kampeni zenye tija

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Nape Moses Nnauye amewataka wagombea wa nafasi ya mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kufanya kampeni zenye tija na kuchochea maendeleo. Akizungumza leo Novemba 20 2024 mjini Sumbawanga Nape Moses Nnauye…

Viongozi wa vijiji, mitaa na vitongoji ndio msingi wa maendeleo, tushiriki uchaguzi

Na Bwanku M Bwanku Nchi yetu kwa sasa inaendelea na michakato mbalimbali kuelekea kwenye tukio kubwa na muhimu la uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, mwaka huu, takribani wiki ikiwa imebaki. Tayari michakato mingi kuelekea tukio hili…

Haiti : Marekani yataka kikosi cha Kenya kugeuzwa kuwa cha walinda amani wa UN

Nchi ya Marekani, sasa inataka polisi wa Kenya waliotumwa nchini Haiti kwenda kusaidia idara za usalama za nchi hiyo kukabiliana na makundi yenye silaha, kigeuzwe na kuwa kikosi kamili cha kulinda Amani cha umoja wa Mataifa. Pendekezo hili licha ya…

Waziri Mkuu Mali afutwa kazi kwa kuukosoa utawala wa kijeshi

Mkuu wa kijeshi wa Mali Kanali Assimi Goita amemfuta kazi Waziri Mkuu wa kiraia Choguel Kokalla Maiga na serikali yake. Hii ni siku chache tu baada ya Maiga kufanya ukosoaji wa nadra wa watawala wa kijeshi. Amri iliyotolewa na Kanali…

Ukraine yaishambulia Urusi na makombora ya Uingereza

Ukraine imeripotiwa kurusha kwenye maeneo ya ndani ya Urusi makombora ya masafa marefu aina ya Storm Shadow yaliyotengenezwa na Uingereza. Hii ni licha ya Urusi kuendelea kuonya dhidi ya hatua ya aina hiyo. Msemaji wa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir…

DED Mji Kibaha akutana na wamiliki na wafanyabiashara vituo vya mafuta

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha ,Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufanyabiashara kihalali na kulipa Kodi ya Serikali kwa wakati. “Nawasihi sana,nipeni ushirikiano ili sote tukishirikiana…