JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Polisi, LATRA Manyara wabaini madudu mabasi ya wanafunzi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Manyara Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani wa Jeshi la polisi Mkoa wa Manyara Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SP Georgina Richard Matagi amewaagiza wamiliki na watumiaji wa magari yanayotumika kubeba wanafunzi kuzingatia sheria za usalama barabarani. Ameyasema hayo…

Dkt.Kiruswa aihakikishia Korea Kusini fursa za uwekezaji sekta ya madini

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameihakikishia Nchi ya Korea Kusini kuhusu uwepo wa fursa nyingi za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Dkt. Kiruswa ametoa wito huo wakati akifungua mkutano wa kitaalamu wa African Minerals Geosciences Initiative (AMGI) uliolenga…

Serikali yaongeza bajeti ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI imeongeza bajeti ya matengezo ya miundombinu ya umeme kutoka shilingi bilioni 197.61 kwa mwaka 2021/2022 hadi shilingi bilioni 211.56 kwa mwaka 2022/2023 ili kuimarisha hali ya upatikanaji umeme nchini. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma wakati Wizara…

Makubi:Kila mtu atimize wajibu wake ili kuboresha huduma za afya

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa Wataalamu wa afya wote nchini kutimiza wajibu wao katika maeneo yao ya utendaji ili kuboresha huduma kwa wananchi wanaoenda kupata huduma. Prof. Makubi ametoa wito huo katika kikao na…

Rais Samia aagiza upelelezi ufanyike kabla ya kuwekwa mahabusu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini DCI Ramadhan Kingai kuhakikisha unafanyika upelelezi na kuwa na ushahidi wa kutosha kabla ya kumuweka mtuhumiwa mahabusu. Rais…