JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watoto laki 263 Pwani kupata chanjo ya Polio

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Pwani Mkoa wa Pwani unatarajia kuchanja zaidi ya watoto zaidi ya laki 263 chanjo ya ugonjwa wa polio katika kipindi cha kampeni hiyo ambayo itadumu kwa kipindi Cha siku nne. Hayo yamebainishwa na Mganga mkuu wa Mkoa wa…

Serikali yapiga marufuku wauzaji viwanja vya 20 kwa 20

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt.Angeline Mabula amezipiga marufuku kampuni na watu wanazojihusisha na uuzaji holela wa viwanja ambao hauzingatii matakwa ya Sheria ya Mipangomiji Na 8 ya Mwaka 2007 Sura 355. Ni kampuni…

TANAPA isaidieni Mahakama kujenga ushahidi usio na mashaka

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Naibu Kamishna wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara (TANAPA), Herman Batiho amewataka wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi na Kwata kwa Askari Waandamizi kuisaidia Mahakama kujenga Ushahidi usio na mashaka kwa kesi zote zinazohusiana na masuala ya Wanyamapori…

Kinana atua Kigoma kwa ziara ya kuimarisha chama

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Omari Kinana amewasili leo Alhamisi tarehe 01 Septemba, 2022 mkoani Kigoma kwa ziara ya siku moja mkoani humo ya kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa ilani pamoja na kusikiliza…

Msajili vyama vya wafanyakazi aitaka JOWUTA kuongeza kasi ya usajili

MSAJILI wa Vyama vya Wafanyakazi nchini Pendo Berege, amekitaka Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Tanzania (JOWUTA), kuongeza kasi ya usajili wa wanachama kama Sheria na Katiba ya inavyotaka. Msajili Berege ametoa maelekezo hayo leo Agosti 31/2022 baada ya kutembelea…