JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Makamba ashiriki mkutano wa dunia wa mabadiliko ya tabia nchi

Waziri wa Nishati,January Makamba amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutano wa Viongozi wa Dunia unaojadili Program ya Afrika ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (Africa Adaptation Summit) unaofanyika Rotterdam, Uholanzi tarehe 5/9/2022. Mkutano…

Waziri Mkuu asisitiza uadilifu ujenzi wa mji wa Serikali

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika kwa wakati na kwa viwango vilivyokusudiwa. Pia,Majaliwa amewaagiza Makatibu…

BRELA yashauriwa kusaidia wafanyabiashara mkoani Mara

Na Mwandishu Wetu,JamhuriMedia, Mara Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA), Bw. Paul Koy ameishauri Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kusaidia wafanyabiashara wa mkoa wa Mara ili warasimishe biashara zao. Kauli hiyo ameitoa jana alipotembelea…