JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NMB Jogging mguu sawa ‘Mwendo wa Upendo’

Wakati mbio za NMB Marathon zikitarajiwa kutimua vumbi Septemba 24 mwaka huu, klabu ya NMB Jogging yenyewe jana Jumatatu ilianza kujifua mapema kwa ajili ya kujiweka tayari kushiriki mbio hizo. Jogging hiyo ilianza kujiandaa na mbio hizo kushirikiana klabu ya…

Kinana ahitimisha ziara kwa kuzungumza na wana-CCM Mwanza

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amehitimisha ziara yake mkoani Mwanza kwa kuzunguzumza na wanachama wa Chama hicho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo. Mkutano huo ulihudhiriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Katibu…

Waziri wa Mambo ya Nje Norway awasili nchini kwa ziara

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway anayeshughulikia masuala ya Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na nchi za Nordic,Anne Beathe Tvinnereim amewasili nchini leo kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia tarehe 6 – 8 Septemba 2022 na kupokelewa…