JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Vikundi 129 va Manispaa ya Tabora vyakopeshwa mil.685.5/-

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Halmashauri ya Manispaa Tabora imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 685.5 kwa vikundi 129 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022. Hayo yamebainishwa juzi na Mkurugezi Mtendaji wa Manispaa…

Msigwa:Watanzania tunzeni miundombinu ya majitaka

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka Watanzania kulinda miundombinu ya majitaka iliyojengwa kwa gharama kubwa na Serikali. Msigwa amesema hayo jana, Septemba 13, 2022 alipotembelea mradi wa mabwawa ya kutibu majitaka unaosimamiwa…

‘Tutembee na Rais Samia kung’oa
vipengele hasi vya sheria ya habari’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar SHERIA ya habari ya mwaka 2016 ilianza kulalamikiwa kwa kipindi kirefu na wadau wa habari kwa kuwa haikuondoa mitego iliyowekwa na sheria ya mwaka 1979 na kuchangia kudumaa kwa vyombo vya habari nchini. Hayo yamesemwa leo…

IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu…