JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mke ajinyonga baada ya mumewe kumtuhumu kuiba 10,000/-

Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia Asia Kibishe (27),mkazi wa Kijiji cha Nyarututu,wilayani wilayani Chato Mkoa wa Geita amejinyonga kwa kipande cha kanga kwa madai mumewe Fabian Shija (23) Mkazi wa Nyarututu,kumtuhumu kuiba sh,10,000. Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi, Septemba 15,…

Bwawa Nyumba ya Mungu kufungwa Machi 2023

Na Kija Elias,JamhuriMedia,Mwanga Wadau wanaoshughulika na uvuvi katika Bwawa la Nyumba ya Mungu wa wilaya za Simanjiro, Moshi Vijijini na Mwanga, wamependekeza kufungwa kwa Bwawa hilo kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na kukithiri kwa uvuvi haramu. Uamuzi wa kufungwa…

Mabula ataka mpango wa matumizi ya ardhi mradi wa maji Butimba

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mwanza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula ametoa wito kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuweka mpango wa matumizi ya ardhi katika eneo la Mradi wa wa Chanzo na Kituo…

Waziri Mkuu wasaidie watoto hawa

*Wanatembea kilometa 24 kila siku Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Nimekuwa na utaratibu za kuzuru maeneo mbalimbali vijijini. Katika pitapita zangu wiki iliyopita nilifika katika eneo ambalo mikoa mitatu ya Manyara, Morogoro na Tanga inapakana. Wilaya zinazokutana hapa ni Kiteto (Manyara), Gairo…

Simba,Yanga wote wapo kileleni

BAO pekee la kiungo Jonas Mkude dakika ya 86 lililoipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Simba SC imefikisha pointi 10 baada ya ushindi huo na kuungana kileleni na mabingwa watetezi,…

TFS waanzisha utalii wa mbio za magari

WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ,kupitia shamba la miti la Sao Hill lilopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamefanikisha mashindano ya magari ya mbio fupi ya Sao Hill Auto Cross ambayo yalikuwa kivutio kikubwa kwa wananchi wa mkoa…