JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yanga,Kipanga watinga raundi ya kwanza Ligi ya Mabingwa

Timu ya Yanga SC imetinga raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan FC kutoka Sudan Kusini mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika…

Ndalichako akagua mradi wa vijana,kitalu nyumba Singida

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amekagua mradi wa Kitalu Nyumba wa kilimo cha mbogamboga na matunda wenye thamani ya Sh. 30 Milioni unaotekelezwa Manispaa ya Singiga. Akikagua mradi huo…

Daktari mbaroni atumia jina la Lukuvi utapeli

Na Kija Elias,JamhuriMedia,Moshi Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limemtia mbaroni Dk. Wilson Solly kwa tuhuma za kuwatapeli malimilioni ye fedha vijana zaidi ya 76 kutoka mikoa mbalimbali kwa kutumia jina la aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi William Lukuvi….

Mtandao wa wabunge wa kupambana na rushwa Afrika kushirikiana na TAKUKURU

Na James Mwanamyoto,JamhuriMedia,Dodoma Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) Mhe. Cecilia Pareso (Mb) amesema mtandao wao utashirikiana kikamilifu na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) katika mapambano dhidi…