JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kwa nini mazishi ya Malkia Elizabeth II ni mazishi ya karne

Mabilioni ya watu duniani wanatarajia kufuatilia maziko ya Malkia Elizaberth II le huku kukiwa na wageni 2000,viongozi 500 wa kigeni na wahudumu 4,000. Mazishi ya kitaifa ya Malkia Elizabeth II litakuwa tukio kubwa zaidi na la kipekee katika Karne ya…