JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mkumbo awaonyesha njia wadau wa habari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Kitila Mkumbo amewashauri wadau wa habari kueleza hoja zenye tija kuhusiana na kupendekeza kwa baadhi ya vifungu vya sheria ya habari kuomba kubadilishwa. Mkumbo ameyasema hayo jijini Dodoma alipozungumza na mwandishi wa habari…

UN:Tanzania ya 86 kati ya nchi 163 zenye amani duniani

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, amesema kuwa bado kuna maeneo mengi ulimwenguni yanakabiliwa na kushindwa kwa suala la amani. Ameyasema hayo kupitia ujumbe wake wa siku ya kimataifa ya amani alipokuwa akihutubia umoja huo huko jijini…

Vita ya madaraka PSSSF

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mtifuano mkali unaotajwa kuwa na viashiria vya kunyemelea madaraka unaendelea ndani ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), ambapo kundi la wafanyakazi waliohamishwa baada ya mifuko kuunganishwa wamefikisha malalamiko kwenye Baraza la Tume ya Maadili…

Ukweli kuhusu NHIF huu hapa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wakati Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya (NHIF) ukiwatoa hofu wananchi kwa kusema kuwa upo imara na himilivu, magonjwa yasiyoambukizwa yanayosababishwa na ‘tabia-bwete’ yanatajwa kuwa chanzo cha ongezeko la gharama za matibabu nchini. Akizungumza na wahariri…

Waziri Mkuu azindua mpango kabambe wa sekta ya uvuvi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta hiyo na kuongeza mchango wake katika Pato la Taifa hadi kufikia asilimia 10 kwa mwaka kutoka asilimia 1.8 ya sasa. Majaliwa amesema kuwa mpango…