JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Polisi yawashikilia watuhumiwa 15 kwa mauaji, wizi wa mifugo Tunduru

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi,JamhuriMedia,Tunduru Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini kinawashikilia watuhumiwa 15 waliohusika katika tukio la mauaji ya wafugaji katika kijiji cha Mbatamila Wilaya ya Tunduru Mkoa wa Ruvuma….

Polisi wanasa tena ‘Panya road’ 167 Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar Jeshi la Polisi nchini limewatia mbaroni watuhumiwa 167 ‘Panya road’ ,katika operesheni maalumu inayoendelea katika Jiji la Dar es Salaam ambao wanatuhumiwa kushiriki katika vitendo mbalimbali vya uhalifu. Akizungumza leo Septemba 24,2022 ,Kamishna wa Operesheni na…

Mbatia afukuzwa NCCR-Mageuzi

Hatimaye mkutano mkuu wa Chama Cha NCCR-Mageuzi umemfukuza uanachama mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia na pamoja na kumvua uongozi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Angelina Rutairwa. Mkutano huo unafanyika leo Jumamosi Septemba 24, 2022 jijini Dodoma na umehudhuriwa…

BOT: Uchumi wa Tanzania Bara wakua kwa asilimia 5.4

Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imefanya kikao chake cha Septemba 222 Septemba 23,2022, ili kutathmini utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi kwa kipindi cha mwezi Julai na Agosti 2022. Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa sera ya…