JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mtibwa Sugar na Mbeya City nguvu sawa

Wenyeji, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya 2-2 na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Mabao ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Nickson Kibabage dakika ya kwanza na Jean Papi Matore…

Simba yaichapa Dodoma Jiji 3-0

Klabu ya Simba imeendelea kutoa dozi kwenye Ligi Kuu Tanzania NBC  baada ya leo kuichapa Dodoma Jiji Fc kwa mabao 3-0, mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Benjamini Mkapa. Simba Sc imecheza mchezo huo siku chache baada ya kutoka visiwani…

Mgombea ajiondoa kwenye uchaguzi kwa kuwaogopa wajumbe

Na Mwandishi Wetu,JmahuriMedia,Babati Mmoja kati ya wagombea wa nafasi ya uwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Babati vijijini Ezekiel Dangalo ameamua kujitoa katika uchaguzi kwa madai ya kuwa na hofu ya kushindwa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa awali. “Nimeamua…

Watu 13 wakamatwa Shinyanga kwa tuhuma za kuhujumu miundombinu ya TANESCO

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewakamata watu 13 wakituhumiwa kuhujumu na kuharibu miundo mbinu ya Shirika la Umeme (TANESCO ) na kulisababishia hasala zaidi ya shilingi milioni 10 kati yao wamo watumishi wawili na wachungaji wa dini wawili. Kwa…

MAIPAC,CANADA kusaidia jamii za pembezoni,wanahabari

Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Arusha Taasisi ya Wanahabari wa Kusaidia Jamii za Pembezoni (MAIPAC) inatarajiwa kuwa na mashirikiano na taasisi zisizo za kiserikali za nchini CANADA ili kuwajengea uwezo wanahabari na kusaidia jamii ya Pembezoni. Mkurugenzi wa shirika la MAIPAC, Mussa Juma ametoa…