JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tembo Warriors yaendelea kuishangaza dunia

Na John Mapepele,JamhuriMedia Kikosi cha Tembo Warriors kimeendelea kuishangaza dunia kwa kuibamiza vibaya timu kali ya Japan katika mashindano ya Kombe la Dunia kwa Watu wenye ulemavu yanayoendelea nchini Uturuki. Waziri mwenye dhamana ya michezo nchini,Mohamed Mchengerwa na Katibu Mkuu…

Majaliwa:Watalii waongezeka nchini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema takwimu za mwaka 2021 zinaonesha kuwa watalii wanaokuja nchini Tanzania wameongezeka kwa asilimia 48.6 kutoka watalii 620,867 mwaka 2020 na kufikia watalii 922,692 mwaka 2021. Mheshimiwa Majaliwa amesema mbali na kuongezeka kwa idadi ya watalii…

Rombo kutumia soko la kimataifa kuuza ndizi

Na Mathias Canal, JamhuriMedia,Rombo Ndizi ni zao kubwa la biashara na chakula hivyo likitumika vizuri litabadili uchumi wa wakulima na nchi kwa ujumla wake. Katika kuimarisha sekta ya Kilimo hususani zao la ndizi imeelezwa kuwa kuna umuhimu wa kutumia soko…

Bei ya mafuta ya petroli yapungua

Bei ya mafuta ya petroli na dizeli ya mwezi Oktoba imepungua ambapo kwa Mkoa wa Dar es Salaam petroli itauzwa kwa Sh.2886 huku dizeli ikiuzwa kwa Sh. 3,083 kwa bei ya rejareja Kwa mkoa wa Tanga Petrol itauzwa 2,924 na…