JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TDM:Dawa iliyoua watoto 66 Gambia haipo nchini

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imesema itaendelea kuchukua tahadhari zote kupitia mifumo yake ya udhibiti, ili kubaini endapo dawa inayosadikiwa kusababisha vifo vya watoto 66 nchini Gambia zitafika nchini. Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo,Adam Fimbo katika taarifa yake…

TFF yazifungia Singida, Prisons

Klabu za Singida Big Stars na Tanzania Prisons zimefungiwa kufanya usajili wa wachezaji wapya kwa dirisha moja la usajili kwa kosa la kusajili wachezaji walio na mikataba na klabu nyingine.

Halotel yasherehekea miaka 7 ya utoaji huduma kwa kuchangia damu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Kampuni ya simu ya Halotel na wafanyakazi wake leo wameshiriki katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kusheherekea na kuadhimisha miaka 7 ya kampuni na utoaji wa huduma za mawasiliano. Zoezi la kuchangia damu ni…

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kubaka mtoto

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Kulwa Paulo Chamkoko, mkazi wa mtaa wa Ghana Kata ya Kiloleni ,Manispaa ya Tabora amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka tisa. Adhabu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi…

Tanzania yajinadi kimataifa mkutano wa utalii UNWTO Arusha

Ikiwa ni siku ya Pili ya Mkutano wa Shirika la Umoja wa Matiafa la utalii Duniani UNWTO kanda ya Afrika unaofanyika jijini Arusha, Tanzania imetumia mkutano huo kutangaza vivutio mbalimbali ilivyonavyo ikiwa ni mkakati wa kufikia watalii milioni Tano ifikapo…