JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Jafo awakoromea watendaji wanaofanya urasimu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Pwani Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira alhaj,Dkt.Selemani Jafo amekemea watendaji wa Serikali wanaofanya urasimu katika kuchelewesha nyaraka za wawekezaji ili kuwekeza nchini. Aidha ameeleza Tanzania ni nchi ya mfano yenye amani na…

Waziri Chana akoshwa na ubunifu tamasha la kitamaduni la Kimasai

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana ameupongeza uongozi wa Wonderland Afrika na View Point Adventures Safaris LTD kwa ushirikiano waliouonesha wa kubuni Tamasha la Kiutamaduni la Kimasai linaloitwa Masai Festival kama zao jipya la Utalii wa Kiutamaduni….

Kagera Sugar yazinduka, yaichapa Polisi 2-0

Timu ya Kagera Sugar imezinduka na kupata ushindi wa kwanza wa msimu baada ya kuichapa Polisi Tanzania mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mabao ya Kagera Sugar…

Yanga yalazimishwa sare na Al Hilal 1-1

Wenyeji, Yanga SC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Al Hilal Omdurman ya Sudan katika mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Yanga walitangulia kwa…

UNWTO wakoshwa na vitutio vya utalii Ngorongoro

Wajumbe kutoka mataifa mbalimbali walioshiriki mkutano wa 65 wa shirika la utalii la Umoja wa mataifa duniani (UNWTO) uliofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 5 hadi 7 Oktoba, 2022 wametembelea Hifadhi ya Ngorongoro na kufurahishwa na uwepo wa vivutio mbalimbali vya…