JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Simba yanusa hatua ya makundi Ligi Mabingwa, yashinda 3-1

Klabu ya Simba imefanikiwa kuinyuka timu ya Primeiro de Agosto Fc kwa mabao 3-1 mchezo ambao ulipigwa kwenye nchini Angola hivyo nakuwa na faida kwa Simba ambaye atasubiri kucheza mchezo wa marudiano ili aweze kufuzu hatua ya makundi. Simba Sc…

Mkenda akerwa kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amekerwa na kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA mkoani Simiyu. Ameagiza wataalamu wote wa usimamizi wa chuo hicho ambao ni kutoka chuo cha ufundi Arusha waweke kambi…

Wizara ya Elimu watinga robo fainali michuano ya SHIMIWI

Timu ya Wizara ya Elimu ya mchezo wa Kamba Wanaume wametinga hatua ya robo fainali ya Mashindano ya Shimiwi ya mchezo huo baada ya kuikung’uta timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuwavuta kwa seti 2-1, katika mchezo wa…

RC Ruvuma ataka walioiba vifaa vya ujenzi wafikishwe mahakamani

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas,amemuagiza Kaimu Mkuu wa wilaya ya Nyasa Aziza Mangosongo kupitia kama ya ulinzi na usalama, kuwakamata na kuwafikisha mahakamani mafundi wa kampuni ya Emirate Builder Co Ltd waliohusika kuiba vifaa vya ujenzi wa…

Mahakama,Maliasili zang’ara riadha SHIMIWI

Wakati wanariadha Elibariki Buko wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Justa George wa Idara ya Mahakama wameibuka kidedea kwa kutwaa ubingwa wa mita 3,000 kwa wanawake na wanaume katika mchezo wa riadha uliofanyika kwenye uwanja wa Shule Sekondari ya…