JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais kupokea na kuzindua chuo cha VETA Kagera

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania anatarajiwa kupokea na kuzindua Chuo kipya cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) cha Mkoa wa Kagera. Halfa hiyo inatarajiwa kufanyika Alhamis tarehe 13 Oktoba, 2022. Katika Chuo hicho kipya kilichopo Burugo Nyakato Kagera….

Polisi yamsaka mwanaume aliyemkata mpenzi wake sehemu za siri na matiti

Jeshi la Polisi linamtafuta mtu aliyefahamika kwa jina moja la Masoud kwa tuhuma za kumkata sehemu za siri pamoja na chuchu za matiti zote kwa aliyekuwa mpenzi wake aliyedumu naye miezi miwili. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Ramadhani…

Kundecha:Elimu ya dini kwa watoto itapunguza ubakaji

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wazazi wameshauriwa kuzingatia malezi na maadili kwa watoto wao ili kupunguza idadi ya watoto wanaojiingiza katika makundi yasiyofaa na kusababisha kufanya matendo yanayoishangaza jamii. Ushauri huo umetolewa leo Oktoba 12, 2022 na Amiri wa Baraza Kuu la…

Rais Samia kuunguruma Kigoma Oktoba 16

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kigoma Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Kigoma, kuanzia tarehe 16 hadi 19 mwezi huu. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ziara hiyo, mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye…

Majaliwa:Tutaendelea kutoa kipaumbele kwa watoto wa kike

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kutoa kipaumbele katika kuhakikisha wanawake na watoto wa kike wanapata huduma wezeshi zikiwemo za afya na elimu ili kuwezesha kujenga jamii yenye usawa. Amesema Serikali inatambua na itaendelea kuunga mkono jitihada…