JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Malala : Wagombea CCM wameandaliwa kilamilifu

KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makala amewahakikishia Watanzania kuwa wagombea wanaotokana na Chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wagombea wenye sifa na wako tayari kushiriki kikamilifu katika…

Majaliwa : Tutaendelea kushirikiana na wadau katika kuimarisha sekta ya afya nchini

Na WAF – Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Jamhruri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zitaendelea kushirikiana na wadau pamoja na taasisi zote za…

Naibu Spika Mgeni: Ni lazima kujenga viwanda vitakavyoongeza thamani ya madini

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa ili Tanzania iweze kukufikia azma ya kuwa kitovu cha madini barani Afrika ni lazima kujenga viwanda vitakavyoongeza thamani ya madini. Hayo yameelezwa leo na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,…

Rais Samia atoa bilioni 24 kutekeleza miradi ya maendeleo Namtumbo

📌 Miradi ya kilimo, afya, elimu, imeme na maji yaguswa 📌 Kapinga asema maendeleo yaliyofanyika yanaonekana wazi; hayahitaji tochi 📌 Aeleza jinsi Ilani ya CCM ilivyotekelezwa kwa mafanikio kupitia usambazaji umeme vijijini 📌 Azindua kampeni za uchaguzi wa Serikali za…

Kenya yafuta ushirikiano na Kampuni ya India ya Adani Group

Rais wa Kenya, William Ruto, ametangaza kufuta mikataba ya ubia kati ya serikali na kampuni ya India ya Adani Group, ikiwemo ule wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) na mamlaka ya umeme. Rais Ruto alitaja madai…

Urusi yaipa Korea Kaskazini mapipa milioni moja ya mafuta

Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza….