JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

‘Fanyeni ukaguzi vilabu vya pombe vingi havina maji wala choo’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Kila ifikapo Oktoba 15 ya kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Unawaji Mikono Duniani, lengo likiwa ni kuendelea kujenga ulimwengu wenye afya na kusaidia kupigana vita dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mlipuko. Katika Halmashauri ya Jiji la…

Bodi mpya ya SBT yawaahidi Watanzania neema ya sukari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Moshi Bodi mpya ya wakurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania (SBT) imeliahidi taifa neema ya sukari ndani ya miaka mitatu ijayo huku mwenyekiti wake,Filbert Mponzi, akisema tatizo la upungufu wa bidhaa hiyo sasa linaenda kuwa historia. Mkurugenzi Mkuu…

Mwenge wafanikisha marejesho ya bil.2.2/- Kagera

Mbio za Mwenge wa uhuru mwaka 2022 zilizofikia kilele Oktoba 14,2022 mkoani Kagera,zimefanikiwa kurejesha fedha za mikopo kwa vijana kupitia mfuko wa Maendeleo ya vijana kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 2.2. Moja ya ajenda ya Mbio za Mwenge wa…

Mwonekano daraja la JPM Mwanza

Muonekano wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la JPM, Kigongo -Busisi Mkoani Mwanza ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Likuyuseka Namtumbo wanufaika na elimu ya usalama barabarani

Na Julius Konala,JamhuriMedia,Namtumbo WANANCHI na wanafunzi wa kijiji cha Mtonya kilichopo katika Kata ya Likuyu Seka wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma, wamenufaika na mafunzo ya elimu ya usalama barabarani kupitia ufadhili wa kampuni ya Mantra Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la…