JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Yanga ‘Out’ Ligi ya Mabingwa

Timu ya Yanga imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa 1-0 na Al Hilal katika mchezo wa marudiano Hatua ya 32 Bora Uwanja wa Al Hilal mjini Omdurman nchini Sudan. Bao lililoizamisha Yanga limefungwa na…

Nchemba aita wawekezaji kuwekeza nchini

Na Benny Mwaipaja,Washington DC Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa wito kwa wawekezaji wa kimataifa pamoja na wazawa kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana nchini Tanzania katika sekta mbalimbali. Dkt. Nchemba ametoa wito huo mjini Washington D.C, Marekani,…

Simba yatinga hatua ya makundi Ligi Mabingwa Afrika

Klabu ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa timu ya Primeiro de Agosto ya nchini Angola 1-0 na kuwa jumla ya mabao 4-1 baada ya mechi ya kwanza Simba Sc kushinda 3-1 ugenini….

Majaliwa:Miradi yote iliyoanzishwa itakamilika

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi yote ya kimkakati nchini na kwamba hakuna mradi wowote utakaokwama. Amesema hayo leo Oktoba 16, 2022 wakati alipokagua maendeleo ya…

‘Nawabadilisha mawaziri lakini Biteko yupo’

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ameeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko katika kuisimamia Sekta ya Madini. Rais Samia amempongeza Dkt. Biteko leo Oktoba 16, 2022 wakati akiwasalimu wananchi wa Runzewe…