JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu

Waziri wa Afya nchini Malawi alitoa taarifa kwa umma juu ya uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu tangu ulipothibitishwa mwezi Machi, 2022. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Serikali Aifello Sichalwe, imesema kuwa mlipuko umekwishaenea katika…

Makampuni ya Japan yavutiwa na kahawa ya Tanzania

Makampuni ya Japan yameonesha kuvutiwa na kahawa ya Tanzania katika maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Japan yajulikanayo kama 2022 Japan Specialty Coffee Conference & Exhibition yaliyofanyika jijini Tokyo tarehe 12 – 14 Oktoba, 2022. Maonesho hayo ambayo yalishirikisha taasisi zipatazo…

Wampongeza Rais Samia kuifungua Kigoma katika sekta ya ujenzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan Oktoba 16, 2022 akiwa Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma amefungua rasmi barabara ya Nyakanazi- Kabingo( km.50) ikiwa imejengwa kwa takriban shilingi bilioni 43 na ujenzi wake kusimamiwa na TANROADS. Akizungumza katika ufunguzi…

Mabula:Rais Samia ameondoa mfumo dume, wanawake mjiamini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka wanawake kujiamini na kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka ili kujiimarisha kiuchumi badala ya kuendelea kulalamika kukwamishwa na mfumo dume. Waziri Dkt. Mabula ameyasema hayo Oktoba 16, 2022 jijini Mwanza wakati akifungua…