JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

“Kumdhalilisha mtu mtandaoni faini yake milioni tano’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar Watanzania wameshauriwa kuacha tabia ya kuchapisha picha na video za faragha mtandaoni kwa kuwa ni kinyume na maadili ya kitanzania lakini pia mhusika anaweza kupata madhara ya kisaikolojia kutokana na udhalilishaji anaoweza kuupata mtandaoni. Mkurugenzi Msaidizi wa…

TBS yamwaga mafuta ya kupikia Tanga

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kaskazini limekamata na kuteketeza bidhaa za juisi na mafuta ya kupikia zilizokwishwa muda wake wa matumizi ( expired products) zenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano za Kitanzania (1.5 milioni). Bidhaa…

Serikali yavifuta vijiji vitano vilivyovamia Hifadhi ya Ruaha

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mbarali Serikali imeamuru vijiji vitano na vitongoji 41 katika vijiji 14 pamoja na sehemu ndogo ya kitongoji cha magwalisi kilichopo mamlaka ya mji mdogo wa Rujewa wilaya ya mbarali kuhamishwa ili kupisha hifadhi. Pia vitongoji 3 katika kijiji…

Rais Samia ampongeza Rais wa China Xi Jinping

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa China Xi Jinping, kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC). Rais Samia ametoa pongezi hizo leo…

Majaliwa kukutana na wamiliki wa makampuni makubwa Korea Kusini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Jumatatu, Oktoba 24, 2022) amewasili Seoul, Jamhuri ya Korea Kusini kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu. Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Togolani Mavura pamoja na baadhi ya watanzania wanaoishi katika nchi…