JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ujerumani kuhalalisha bangi kama kiburudisho

Serikali ya Muungano ya Ujerumani imekubaliana juu ya mpango wa kuhalalisha kisheria matumizi ya bangi kama kiburudisho miongoni mwa watu wazima. Mtu ataruhusiwa kumiliki na hadi gramu 30 (1oz) kwa ajili ya matumizi ya kibinafsi. Maduka ya kawaida yaliyopewa leseni…

Watoto sita wa familia moja wapatikana na Ebola Uganda

Watoto sita wa familia moja ya Kampala wamepata maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, wamesema maafisa katika mji mkuu Kampala. Kwa wiki nne madaktari wamekuwa wakitoa wito wa hatua kali za kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi mjini Kampala. Virusi vya…

Halotel yaongoza kwa intaneti yenye spidi nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia KAMPUNI ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania imeshika usukani mara ya tatu kwa kuwa na huduma ya intaneti yenye spidi ya kasi zaidi ukiliganisha na kampuni nyingine zinazotoa huduma. Kwa mujibu wa ripoti ya robo ya…

Korea yaipatia Tanzania mkopo wa Bil.310/-

Serikali ya Jamhuri ya Korea imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa shilingi bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa mfumo wa utambuzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) pamoja na uendelezaji na utunzaji wa mfumo wa taarifa za…

Tanzania, Malawi wajadili namna ya kuondoa vikwazo vya kibiashara

Mkutano wa Tano (5) wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (The 5th Joint-Permanent Commission For Cooperation – JPCC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malawi umeanza leo tarehe 26 Oktoba 2022 jijini Dar es…

Ofisi ya Msajili Hazina yatembea na Rais, yakusanya bil.852.98/-

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma HADI kufikia Juni 30, mwaka huu Ofisi ya Msajili wa Hazina imekusanya mapato yasiyo ya kodi ambayo yanajumuisha gawio, michango ya asilimia 15 ya mapato ghafi na mapato mengineyo kiasi cha Sh. Bilioni 852.98 sawa na asilimia…