JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Koyi: Mimi ni Rais halali TCCIA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Chemba ya Biashara,Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Paul Koyi amesema yeye ni kiongozi halali wa chemba hiyo kwa mujibu wa katiba. Koyi ametoa kauli hiyo siku moja tu, baada ya baadhi ya wanachama wa chemba…

Serikali yachukua tahadhari kujikinga na Ebola

Serikali imesema mtazamo wa nchi ni kuhakikisha ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani ya Uganda hauingii nchini Tanzania. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu wakati akiwa ziarani mkoani Kagera kuangalia utayari wa mkoa huo kukabiliana…

Mauaji ya watu 12 Lindi yasababisha hofu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Lindi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata mara moja wafugaji waliohusika katika mauaji ya watu 12 Mkoani Lindi. Masauni ametoa kauli hiyo akiwa ameambatana na Waziri wa Mifugo…

Mtatiro alia na ghughuli za kibinadamu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tunduru Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Julius Mtatiro amesema,ni muhimu suala la upandaji miti katika wilaya hiyo liwe endelevu na jambo la mara kwa mara ili kusaidia uhifadhi wa mazingira. Mtatiro amesema hayo,baada ya kuongoza zoezi…