JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Chongolo:Tanzania na Cuba zina urafiki wa kihistoria

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema kuwa, kupitia dhamana ya kuongoza Serikali na nchi, kitahakikisha urafiki wa muda mrefu kati ya CCM na Chama cha Kikomunisti cha Cuba (CPC) na uhusiano wa Tanzania…

Makamba:Serikali imendaa mjadala wa nishati safi ya kupikia

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Serikali imesema imeandaa mjadala wa Nishati Safi ya Kupikia ili kuwepo na Sera, Sheria, Kanuni na Mifumo ya Udhibiti wa Nishati Chafu ya kupikia ikiwemo mkaa na kuni na kutumia nishati safi,salama na endelevu ili kusaidia uhifadhi…

Mali za viongozi wa umma kuanza kuhakikiwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kuanza uhakiki wa rasilimali, maslahi na madeni kwa viongozi wa umma 658 watahakikiwa. Hayo yamesewa leo Novemba 2,2022 jijini Dodoma na Kamishna wa Maadili, Jaji wa…

Waokota taka waomba kutambuliwa na Serikali

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia,Dar Wananchi wameaswa kuwa na utamaduni wa kuokota taka kwenye maeneo yanayowazunguka na kuzihifafhi sehemu salama ili kusaidia kuepukana na magonjwa ya mlipuko yatokanayo na Uchaguzi wa mazingira. Hayo yamesemwa leo Novemba 2 ,2022 na Afisa Tarafa ya…

Wakufunzi ESP watakiwa kuleta mabadiliko kwenye jamii

Na Elizabeth Joseph,JamhuriMedia,Arusha WAKUFUNZI wa Mpango wa Uwezeshaji kupitia Ujuzi(ESP), unaofadhiliwa na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Serikali ya Canada wametakiwa kutumia mafunzo wanayopewa katika kukuza uelewa kwa jamii katika masuala ya…

TAKUKURU yabaini wagojwa hewa 313 wa VVU Muheza

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Tanga (TAKUKURU), imefanikiwa kudhibiti wagonjwa hewa 313 wa VVU kwenye mfumo wa usajili wa wagonjwa hao wilayani Muheza. Hayo yamebainishwa leo Novemba 2,2022 na Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Tanga Zainabu…