JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kairuki abainisha maeneo saba atakayoyasimamia TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amebainisha vipaumbele na maeneo ambavyo Wizara itawekea mkazo katika kipindi ambacho atakuwa akihudhumu katika Ofisi ya Rais TAMISEMI. Amebainisha hayo leo tarehe 03 Novemba, 2022…

Waziri Gwajima kushiriki mkutano wa maswala ya wanawake Uturuki

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewasili nchini Uturuki katika jiji la Instanbul, na kupokelewa na mwenyeji wake Balozi wa Tanzania nchini humo Lt. Jen. Y. H. Mohamed, leo tarehe 03 Novemba,…

Serikali yajipanga kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amesema kuwa Serikali imeweka mpango mkakati wa ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya vyote nchini kwa lengo la vituo hivyo kuanza kutoa huduma kwa…

Moto mlima Kilimanjaro,Serikali yaipa Wizara maagizo matatu

Serikali imetoa maagizo matatu kwa Wizara ya Maliasili na Utalii na TANAPA katika kukabiliana na changamoto ya moto kwenye maeneo ya hifadhi ikiwemo mlima Kilimanjaro wakati inapojitokeza. Agizo hilo limetolewa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo bungeni Novemba 3,2022 bungeni jijini…