JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Malawi ampongeza Mkuu wa Majeshi ya ulinzi kwa ushirikiano

Na Meja Selemani Semunyu, Malawi Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameishukuru Tanzania kupitia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda kwa ushirikiano inaouonyesha kwa nchi hiyo na jeshi lake kupitia michezo ikiwemo Gofu. Rais Chakwera aliyazungumza hayo wakati wa…

‘Viongozi wa dini toeni mafunzo kupunguza mmomonyoko wa maadili’

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaomba viongozi wa dini nchini wakiwemo wa Jumuiya ya Kiislamu ya Istiqaama Tanzania waongeze juhudi katika kutoa mafunzo ya dini ili kupunguza au kuondoa kabisa mmomonyoko wa maadili unaoikabili jamii. Waziri Mkuu amesema viongozi wa dini,…

Mgambo washauriwa kushiriki bila woga ulinzi na usalama

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza Amina Makilagi amefunga mafunzo ya awali ya askari wa Jeshi la akiba (mgambo) na kuwaasa wahitimu wa mafunzo hayo kuwa raia wema ili waweze kulitumikia Taifa. Makilagi amefunga mafunzo hayo jana Ijumaa Novemba…

Majaliwa: Vishikwambia vitumike katika kuboresha elimu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Ijumaa Novemba 4, 2022 amezindua ugawaji wa vishikwambi katika sekta ya elimu na amesisitiza kwamba vifaa hivyo vitumike katika kuboresha mchakato wa utoaji elimu ili kuinua ubora wa elimu nchini na si vinginevyo. Akizindua ugawaji…

‘Wauguzi tumie lugha nzuri katika kuwahudumia wagonjwa’

Wauguzi na wakunga waaswa kuwa na lugha nzuri na ubunifu wa hali ya juu katika kuwahudumia wagonjwa Hospitalini. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Ziada Sellah katika kikao na wawakilishi wa wauguzi na wakunga kutoka katika…