JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watatu wafariki ajali ya Precision Air

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera Issessanda Kaniki ameeleza kuwa kumetokea vifo vya watu watatu katika ajali ya ndege ya Precision Air Bukoba mkoani Kagera. Kwa mujibu wa Mganga Mkuu, wawili kati ya hao waliofariki ni wanaume na mmoja ni…

Ndege yaangukia Ziwa Victoria Bukoba, 29 waokolewa

Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air imeanguka katika Ziwa Victoria karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera. Kamanda wa Polisi mkoani humo amethibitisha kuanguka kwa ndege hiyo, na kuwa uokoaji unaendelea na atatoa taarifa kwa kina…

Simba Queens yaingia nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

Timu ya wanawake ya Simba Queens imefanikiwa kuweka rekodi mpya katika soka la wanawake nchini kwa kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Wanawake baada ya kuichapa timu Green Buffaloes Women ya Zambia, magoli 2 bila. Timu ya Simba…

Afritrack yaja na suluhisho la kuondoa ugomvi kwa wenye nyumba na wapangaji

Na Mussa Agustine,JamhuriMedia Kampuni ya Afritrack imekuja na mfumo wezeshi wa kufuatilia matumizi ya umeme katika majengo makazi na majengo biashara. Hayo yamesemwa na Afìsa Masoko wa kampuni hiyo Gabrieĺa Faith katika maonyesho ya ujenzi yanayoendelea jijini Dar es Salaam….

Shaka awatolea uvivu wabadhirifu serikalini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amtoa onyo na kuwatahadharisha wtumishi wote ambao wamepewa dhamana katika Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, wasithubutu kufanya…