JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Chana aipa tano TTB kutangaza vivutio vya utalii

Na Happiness Shayo, JamhuriMedia,Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini huku akisisitiza kuwa hayo ndio maono ya Rais wa Jamhuri…

Serikali kupitia Wizara ya Fedha yajivunia mchango unaotolewa na ITA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha imesema inajivunia mchango unaotolewa na Chuo cha Kodi (ITA) katika kutoa mafunzo ya Forodha na kodi kwa watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )na watanzania kwa ujumla…

ACT waahidi kufanikisha huduma ya maji Warumba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, ameongoza kampeni za chama hicho Ijumaa, Novemba 22, 2024, akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Warumba, Abdulkarim Abbas, katika Kata ya Songwe, Jimbo la Mbarali,…

CCM yasaka ushindi wa kishindo Mbogwe

📌 Dkt Biteko Asema CCM inaeleza joja, wengine maneno 📌 Dkt. Biteko awataka wananchi kuchagua viongozi watakaotatua shida zao 📌 Mbogwe yapiga hatua kimaendeleo 📌 Dkt. Biteko asema uchaguzi ni mipango na CCM imejipanga Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri…

Tanzania, Uganda kuendelea kuimarisha ushirikiano

📌 Ni katika kuendeleza Sekta za Mafuta na Gesi 📌 Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wafikia asilimia 47 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema nchi za Tanzania na Uganda zitaendelea kushirikiana katika uendelezaji wa miradi…

Zaidi ya bilioni 10 skimu ya umwagiliaji Masimba kunufaisha wakulima 24,000 Singida

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye ni mbunge wa Iramba Magharibi ameipongeza Wizara ya Kilimo kwa kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kwani hatua zinazochukuliwa zitaboresha maisha ya…