Author: Jamhuri
LATRA yaeleza mafanikio ndani ya miaka minne ya Serikali Awamu ya Sita
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imewasilisha mafanikio yake makubwa yaliyopatikana kuanzia Februari 2021 hadi Machi 2025 katika kikao kilicholenga kutoa taarifa juu ya utekelezaji wa majukumu ya LATRA ndani ya miaka minne…
Watakiwa kuwapuuza wanasiasa wanaotaka wasusie Uchaguzi Mkuu
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amewataka Watanzania kupuuza maneno ya wa wanasiasa wanaopita maeneo mbalimbali nchini na kueneza habari za uchochezi kuhusu Uchaguzi Mkuu. Ndumbaro amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeeleza sababu zinazoweza…
Marekani: Vifaa vya simu,elekroniki vyapandishwa ushuru
RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema simu za mikononi zilizotengenezwa na China na vifaa vingine vya kielektroniki havitaondolewa kwenye ushuru badala yake vimehamishiwa kwenye fungu tofauti la ushuru. Masoko ya hisa ya Ulaya yaliimarika kuanzia Jumatatu asubuhi baada ya tangazo…
Wanachama 50 wa ACT-Wazalendo wajiunga CCM Lindi
Zaidi ya wanachama 50 kutoka katika Chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Wanachama hao wakiongozwa na aliyewahi kuwa diwani na mwenyekiti kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Said Kitunguli wamepokelewa na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi…
EIB kuongeza ufadhili kwa miradi ya maendeleo nchini Tanzania
· Yatangaza ufadhili mpya kwa miradi mitano nchini. Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank – EIB) imeahidi kuongeza ufadhili na mikopo ya masharti nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano baina…