Author: Jamhuri
TPA yaingiza timu nne fainali mashindano ya SHIMMUTA Tanga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania imefanikiwa kuingiza timu nne katika fainali ya mashindano ya SHIMMUTA yanayoendelea jijini Tanga. Timu ya Netball imeingia fainali baada ya kuifunga TRA jumla ya magoli 48 – 43 katika…
Simba yazidi kujikita kileleni
Wekundu wa Msimbazi Simba imeibuka na ushindi 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Bao la Simba limefungwa na Leonel Ateba kwa penalti dakika ya 22…
Tanzania, China zasisitiza kukuza ushirikiano
Serikali ya Tanzania na China zimesisitiza kuongeza ushirikiano wa kimaendeleo kupitia ziara mbalimbali zinazofanywa na viongozi wa juu wa pande zote mbili ili kuimarisha ushirikiano wa kihistoria na kidiplomasia ulioasisiwa na waasisi wa mataifa hayo, Baba wa Taifa Hayati, Mwl….
Waziri Chana aipa tano TTB kutangaza vivutio vya utalii
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia,Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini huku akisisitiza kuwa hayo ndio maono ya Rais wa Jamhuri…