Author: Jamhuri
Yanga yachapwa na Ihefu FC 2-1
Klabu ya Ihefu imevunja rekodi ya Yanga ya kutokufungwa katika mechi ya 50 kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2-1, mchezo ambao ulipigwa Mbarali mkoani Mbeya. Yanga Sc ilianza kupata bao kupitia kwa Yannick…
Majaliwa ataka umakini manunuzi ya vifaa vya ujenzi wa miradi
…………………………………………………………………………………. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri nchini kuongeza umakini katika manunuzi ya vifaa vinavyotumika katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ili iweze kukamilika katika muda uliopangwa na kutoa huduma kwa wananchi. Ametoa wito huo leo (Jumanne,…
Anne Makinda kutunuku wahitimu 291 HKMU
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia SPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa masomo mbalimbali kwenye mahafali ya 20 ya Chuo hicho. Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Yohana Mashalla, amesema…
Uganda yaja kujifunza namna Tanzania ilivyofanikiwa sekta ya mawasiliano
Tanzania imeihakikishia Uganda kuwa itaendelea kuipa ushirikiano katika kujenga uwezo wa usimamizi wa sekta ya Mawasiliano na TEHAMA, sambamba na kudumisha ushirikiano wa kitaalam katika usimamizi wa sekta hizo. Akizungumza wakati alipoukaribisha ujumbe wa Tume ya Mawasiliano Uganda (UCC), ukiongozwa…
Ajali yaua watatu Singida
Watu watatu wamefariki na mmoja kujeruhiwa katika ajali iliyotokea Maonyoni mkoani Singida katika Kijiji cha Kitopeni Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni mkoani Singida, huku mmoja akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya Mtakatifu Gaspar Itigi. Kamanda wa Polisi mkoa wa…