JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Vigogo wa ligi kuu wapangiwa wapinzani kombe la shirikisho la Azam

Droo ya hatua ya pili ya Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam imefanyika hii leo ambapo vigogo wa ligi kuu Tanzania Bara wameingizwa katika ratiba hiyo baada ya kutohushishwa katika hatua ya kwanza.   Simba SC watakutana uso kwa uso…

Hakimu adaiwa kujiua gesti

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linafanya uchunguzi kufuatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga Michael Royan(31), kudaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni.katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Theopista Mallya…

Bocco aivuruga Simba

Nahodha John Raphael Bocco anatajwa kuwavuruga viongozi na mashabiki wa Simba kufuatia kufunga magoli manne katika mechi tatu za Simba za hivi karibuni ambapo alifunga magoli 3 dhidi ya Ruvu Shooting na goli 1 dhidi ya Polisi Tanzania kule Moshi. …

Kipigo cha Ihefu, kimewapeleka Yanga kwenye presha sahihi

Na Mwandishi wetu Yanga wameagana na presha ya unbeaten na sasa wanaingia kwenye presha ya ubingwa. Kuna wakati presha ya unbeaten ilikuwa inawaondoa wachezaji kwenye focus ya ubingwa kiasi kwamba makocha walilazimika kuwakumbusha wachezaji na mashabiki kwamba wafocus kwenye ubingwa…

‘Sambazeni waraka wa adhabu za viboko shuleni walimu, wanafunzi wauelewe’

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima ameiomba Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuusambaza waraka wa adhabu za viboko shuleni wa mwaka 2002 ili walimu na wanafunzi wauelewe. Waziri Gwajima amesema hayo wakati…