Author: Jamhuri
Kanoute mchezaji bora Novemba
Kiungo wa Simba SC, Sadio Kanoute, ametwaa tuzo wa mchezaji bora wa Simba kwa mwezi Novemba baada ya kuwashinda beki Shomari Kapombe na kiungo Mzamiru Yasin kwa kura zilizopigwa na mashabiki wa timu hiyo. Kwa ushindi huo Sadio Kanoute atapata…
Brrick Bulyanhulu yaungana na Serikali kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
Mgodi wa Barrick Bulyanhulu uliopo mkoani Shinyanga umeungana na Serikali na wadau wengine kuadhimisha siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia ambapo umeandaa kampeni ya kutoa elimu dhidi ya vitendo hivyo katika shule za msingi na sekondari zilizopo…
Suarez agoma kuiomba msamaha Ghana
Mchezaji wa Uruguay, Luis Suarez (31), amesema kamwe hawezi kuomba msamaha kwa kushika kwa mkono mpira uliokuwa unaingia golini kwao katika mechi yao ya Kombe la Dunia dhidi ya Ghana mwaka 2010 nchini Afrika Kusini. Watu wengi wamekuwa wakimtaka Suarez…
Waziri Mabula asikitishwa na watendaji sekta ya ardhi Iringa
Na Munir Shemweta,JamhuriMediaIringa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za Manispaa na Wilaya ya Iringa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kusababisha halamshauri hizo kushindwa kukusanya…
Haya hapa matokeo darasa la saba 2022
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022 ambapo limetangaza kufuta matokeo yote ya Watahiniwa 2194 sawa na asilimia 0.16 ya Watahiniwa 1,350,881 waliofanya mtihani ambao wamebainika kufanya udanganyifu…