JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ndege ya ATCL yashikiliwa Uholanzi

Serikali imekiri kushilikiwa kwa ndege Airbus A220 tangu Januari kwenye kiwanja cha ndege cha Maastricht Aachen nchini Uholanzi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Feleshi amesema kuwa ndege inashikiliwa baada ya mwekezaji wa Kiswidi kushinda tuzo ya dola za kimarekani…

TRA yaibuka mshindi wa jumla tuzo za NBAA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshinda tuzo mbili ikiwemo mshindi wa jumla katika uandaaji bora wa taarifa za hesabu mwaka 2021 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu katika Taasisi za Umma yaani mfumo wa…

Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa Ukimwi Pwani chapungua

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani  Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo ,mkoani Pwani kimeshuka kutoka asilimia 5.9 hadi kufikia asilimia 5.5. Akitoa hali ya kiwango Cha maambuzi ya ugonjwa huo, katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi…