Author: Jamhuri
Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro , Jacob Ole Mameo amewataka wanawake wa Umoja wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) kutumia nguvu waliyonayo kukemea wanaobeza jitihada zinazofanywa na baadhi ya wanawake walio katika nyadhifa…
Wanawake jamii za asili wakutana Arusha kujadili changamoto zao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Arusha Wanawake Jamii za Asili Nchini wanakutana jiji Arusha kujadili changamoto zao ikiwepo athari za mabadiliko ya Tabianchi. Wanawake hao kutoka jamii za wahadzabe, Wamasai, wabarbaigi,wadatoga na waakei wanasema mabadiliko ya tabia nchi yameleta ukame katika maeneo…
TPA yaingiza timu nne fainali mashindano ya SHIMMUTA Tanga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania imefanikiwa kuingiza timu nne katika fainali ya mashindano ya SHIMMUTA yanayoendelea jijini Tanga. Timu ya Netball imeingia fainali baada ya kuifunga TRA jumla ya magoli 48 – 43 katika…
Simba yazidi kujikita kileleni
Wekundu wa Msimbazi Simba imeibuka na ushindi 1-0 dhidi ya Pamba Jiji FC, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Bao la Simba limefungwa na Leonel Ateba kwa penalti dakika ya 22…