JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mgunda apeleka vita kwao

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, yupo Jijini Tanga na timu yake ya Simba SC tayari kukabiliana na klabu ya Coastal Union ambaye ameinoa kwa muda mrefu kabla ya kujiunga na Simba SC ya Jijini Dar es Salaam. …

Morocco yavunja rekodi mbalimbali kutinga 16 bora Kombe la Dunia Qatar

Timu ya Taifa ya Morocco wameuungana na Senegal katika hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kuicharaza Canada kwa mabao 2-1 na kuwafanya kuongoza kundi lao wakiwa na point 7 huku wakifuatiwa na Croatia wenye…

Mwinyi Zahera Kocha mpya Polisi Tanzania

Klabu ya Polisi Tanzania imemtangaza aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga kuwa kocha wake mpya baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano ya pande zote mbili kufikiwa.  Kocha huyo mwenye uraia wa Congo na Ufaransa atakuwa na jukumu kubwa la…

Watuhumiwa wa ukeketaji mbaroni

Na Abel Paul,JamhuriMedia wa Jeshi la Polisi Watuhumiwa wa vitendo vya ukatili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa mara wilaya ya Tarime kwa makosa ya kufanya ukeketaji na tohara kwa Watoto wa kike amabapo ni kinyume na sheria za…

‘Maambukizi ya UKIMWI Ruvuma yapo juu’

Na Albano Midelo,JamhuriMedia, Ruvuma MKOA wa Ruvuma kwa mwaka 2022 unakadiriwa kuwa na zaidi ya watu 63,088 wanaoshi na Virusi vya UKIMWI.Haya yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt.Lous Chomboko wakati anatoa taarifa kuhusu ugonjwa wa UKIMWI kwenye…

‘Kila mwezi PSSSF inaingiza kwenye mzunguko zaidi ya sh. bilioni 180’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) tayari umewalipa wanachama 750 waliokumbwa na sakata la vyeti “feki”, baada ya kuwasilisha madai yao na nyaraka stahiki. Akizungumza wakati wa kikao kazi na wanachama wapatao 60…