Author: Jamhuri
Wanawake Pwani waaswa kuvunja ukimya na kupinga vitendo vya ukatili
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha WANAWAKE mkoani Pwani wameaswa kuvunja ukimya na kuungana kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto na kuwaasa kuwakemea watoto wao kujiepusha kwenda vibanda umiza ambavyo vingine huwa vikionyesha video zisizo na maadili. Akizungumza katika hafla ya Generation Queen’s…
Mahafali ya 16 MUHAS wahitimu 1389 watunukiwa vyeti
……………………………………………………….. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdor Mpango amewatunuku vyeti wahitimu elfu moja mia tatu themanini na tisa(1,389) wa ngazi mbalimbali katika chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi (muhus) huku kati yao wahitimu…
Masauni:Siridhishwi na kasi ya Polisi kushughulikia migogoro ya ardhi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ruvuma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amelitaka Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kuwakamata wafugaji wanaoingiza mifugo katika mashamba ya wakulima na kuwachukulia hatua za kisheria. Amesema haridhishwa na kasi ya jeshi hilo katika…
Simba mbele kwa mbele
Klabu ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya Costal Union Fc baada ya kuitandika mabao 3-0 mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Mkwakwani mkoani Tanga. Simba Sc ililazimishwa sare katika kipindi cha kwanza licha ya kukosa nafasi nyingi…
Askari waliotimiza miaka 22 kazini watoa msaada kituo cha watoto yatima
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha waliotimiza miaka ishirini na mbili kazini wametoa msaada katika kituo cha faraja Orphanage kilichopo shangalai wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha ikiwa ni mchango wao…