Author: Jamhuri
Rais Samia afuta sherehe za miaka 61 ya Uhuru
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefuta sherehe za Miaka 61 ya uhuru na kuagiza fedha zote kiasi cha shilingi milioni 960 zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya sherehe hizo kuelekezwa katika ujenzi wa Mabweni katika shule 8 zenye wanafunzi wenye mahitaji maalumu…
Wanaohujumu mitihani kushughulikiwa
Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Dar Serikali imeweka bayana dhaira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na maafisa wengine wote wakiwemo askari ambao wamepewa jukumu la kusimamia mitihani. Hatua hizo dhidi ya wasimamizi hao wa mitihani zitahusisha…
Uboreshaji bandari unahitaji uwekezaji
Na Stella Aron,JamhuriMedia NI lini Tanzania itaandika historia yake kwa kujiweka imara na kukuza uchumi kupitia biashara iliyoongezeka, kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni na kutengeneza ajira kupitia bandari ya Dar es Salaaam. Kuna maswali mengi ambayo hukosa…
Medo amfukuzisha kazi Boniface Mkwasa
Aliyekuwa kocha mkuu wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa ‘Master’ amebwaga manyanga kunako kikosi cha Ruvu Shooting kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo ambayo imecheza mechi 15, ikishinda mechi 3, sare 2 na kupoteza mechi 10 huku wakiwa nafasi ya pili…
NMB yaongoza tuzo ya mwajiri bora
BENKI ya NMB imetangazwa kuwa Mwajiri bora wa mwaka 2022 katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma. Benki hiyo mbali na kushinda Tuzo ya mshindi wa jumla…