Author: Jamhuri
Kenya yapiga marufuku wazazi kuwapeleka watoto shule za msingi za bweni
Kenya imetangaza kuwa kuanzia mwaka ujao hakutakuwa na shule ya bweni kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwapeleka watoto wao shuleni asubuhi. Hii ni kwa ajili ya kutaka watoto wawe karibu sana na wazazi wao kwa suala…
Rais Samia ang’ara kwa kupata kura 1914
Mweyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan amepata kura 1914 huku akipata kura moja ya hapana. Kwa Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania bara, Abdulrahman Kinana amepata kura 1,913 na mbili za hapana huku Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Dk.Hussein Ali Mwinyi…
Mkurugenzi Karagwe amshukuru Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa,hospitali
Na David John,JamhuriMedia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmadhauri ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Michael Nzyungu amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi kwenye halmashauri hiyo kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule mbalimbali za…
Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumnyonga mke na mtoto
Na John Walter,JamhuriMedia,Manyara Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara imemuhukumu Shamswadini John (35), mkazi wa Hanang mkoani Manyara, maarufu kama Sikukuu kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuua kwa kukusudia ambapo amemuua mke wake aitwae Asia…
Hospitali Madaba kutoa huduma zote muhimu
UJENZI wa hospitali ya Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma upo katika hatua za umaliziaji. Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amesema serikali imetoa shilingi bilioni 2.9 kutekeleza mradi huu ambao utawezesha kutoa huduma zote muhimu…
Mafia yaadhimisha miaka 61 ya Uhuru kwa kupanda miti
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhandisi Martin Ntemo ameongoza wananchi kuamua kuadhimisha sherehe za miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa kupanda miti na kushiriki kwenye Kongamano ambalo lilikuwa maalum kujadili changamoto mbali mbali zinazowakabili walimu wanawake pindi wanapotekeleza…