Author: Jamhuri
Twende na kasi ya dunia ubunifu na ujasiriamali : Balozi Nchimbi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kuendelea kuwa viongozi wa mabadiliko katika soko la ajira la Tanzania, wakienda sambamba na kasi ya…
CCM hatucheki na mtu katika kushika dola, tumejipanga – CPA Makalla
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu wamejipanga kuhakikisha…
Waziri Ulega abariki pazia la shindano la Ladies First
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa mifugo na uvuvi Abdallah Ulega ameongoza ufunguzi wa msimu wa sita wa shindano la Ladies First. Ufunguzi wa shindano hilo umefanyika asubuhi ya leo katika uwanja wa Benjamin mkapa, Dar es…
Serikali kuendelea kuiwezesha kibajeti IRDP
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Lameck Nchemba amesema Serikali itaendelea kukiwezesha kibajeti Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) ili kiweze kuwa na miundombinu na rasilimali watu inayokidhi mahitaji ya utoaji wa elimu kwa viwango bora. Akizungumza kwa niaba ya…
‘Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa’
Wagombea wanawake wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, kipindi hiki cha kampeni wametakiwa kujikita kunadi sera zinazowagusa zaidi wananchi, namna ya kuzitatua na kushughulikia kero za sehemu husika Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea…