JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CCM washauriwa kutopoteza muda kwa malumbano

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amewataka wana CCM kutopoteza muda kwa malumbano na majibizano kwa kuwa kuna kazi muhimu mbele yao ya kujenga Chama na nchi. Amesema Rais Samia Suluhu Hassan…

DC Mgema:Vita ya kugombania maji inakuja

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Ruvuma MKUU Wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema ameitaja vita kubwa na mbaya ambayo inakuja ni ya kugombania maji. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mtyangimbole Halmashauri ya Madaba Wilaya ya…

Kisa Morocco, Wasauzi wataka Mosimane apewe Bafana Bafana

Baada ya Morocco kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia nchini Qatar kumeubuka hisia mbalimbali miongoni mwa mashabiki na makocha wa timu mbalimbali kuhusu namna ya kuziandaa timu zao za taifa kuelekea mafanikio.  Huko Afrika Kusini kocha wa…

TFF wanapopambanisha ‘Mandonga na Twaha Kiduku’

Kuna kitu kinaendelea katika mechi za Kombe la Shirikisho la Azam ambacho hata mashabiki wa soka hawakifurahii ingawa kwa nje kinaonekana kizuri kwa timu zao. Azam wameshinda 9-0 dhidi ya Malimao FC, Simba nao wameshinda 8-0 na Ihefu nao wakaishindilia…

Hakuna kama Morocco

Hakika hakuna kama Morocco kwa Afrika wala kwa nchi zote za kiarabu baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2022 huko nchini Qatar.  Morocco ndio nchi ya kwanza toka Afrika kutinga katika hatua ya…

Simba wanapompuuza mbaniani mbaya wakati hawana malaika

Simba haina tatizo ila imezungukwa na watu wenye matatizo wasiotaka mabadiliko. Ukiona taasisi inakubali kupoteza wasomi wake kirahisi ujue kuna watu hawataki klabu ipige hatua. Simba inarudi nyuma badala ya kwenda mbele.  Baniani mbaya kiatu chake dawa. Yawezekana Mo Dewji…