Author: Jamhuri
Waziri Majaliwa aagiza TAKUKURU kuichunguza MUWASA Katavi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Katavi awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda (MUWASA), Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za…
Maafisa ugani watakiwa kuwasaidia wafugaji kufuga kibiashara
Na Edward Kondela,JamhuriMedia Maafisa ugani kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki wametakiwa kuhakikisha wanawasaidia wafugaji kufuga kibiashara na kuachana na ufugaji usio na tija. Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyonge amebainisha hayo jana Mjini Maswa, wakati…
Yanga kukutana na TP Mazembe,Simba na Vipers Kombe la Shirikisho CAF
Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Soka barani Afrika, Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF CC) tayari wamepangwa makundi ya michuano hiyo msimu wa 2022-2023. Katika droo hiyo iliyoendeshwa na Shirikisho la Soka barani…
Mkenda:Ajira ya chuo kikuu isiwe kuangalia GPA pekee
Na Mathias Canal,JamhuriMedia, Dar Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili. Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala…